Annie na familia yake wanaenda pwani kwa likizo.Waokoaji wawili wa mawimbi wanatembelea shule ya Annie na anajifunza jinsi ya kukaa salama ufukweni.Annie anagundua kwamba bahari inabadilika. Mwanzoni anahofia mawimbi lakini baada ya kuwakuta na waokoaji wa mawimbi, na pamoja na usaidizi wa familia yake, Annie hugundua hivi karibuni furaha ya kuogelea pwani.Ujasiri wa Annie unaongezeka hadi anapopata wimbi kubwa ambalo humvuta ndani ya maji mengi zaidi.Je, atakumbuka jinsi ya kuwaambia wakoaji wa mawimbi kwamba anahitaji usaidizi?'Annie na Mawimbi' ni kitabu juu ya jinsi ya kukaa salama pwani.Wakati unaposoma kitabu hiki utajifunza:· Waokoaji wa mawimbi wanavaa nyekundu na manjano· Unapaswa kuogelea katikati ya bendera nyekundu na manjano· Baadhi ya fukwe ni salama zaidi kuliko zingine· Kuna aina tofauti za mawimbi, baadhi yao ni salama zaidi kuliko mengine· Ikiwa unapata shida katika maji, tulia na inua mkono wako kuonyesha waokoaji wa mawimbi unahitaji msaada· Kuwa salama juani ufukweni. Vaa kofia na fulana ya kuogolea, na usisahau kupaka krimu ya kuzuia jua kabla ya kwenda nje katika juaniNa...· Hupaswi kamwe kuingia ndani ya maji peke yako!
In sommige gevallen kan een boek afwijken van de aangegeven editie. Mocht dit het geval zijn, neem dan contact met ons op voordat u een beoordeling geeft, zodat we indien nodig een oplossing kunnen vinden.
Deze kunnen stempels of soortgelijke kenmerken van de betreffende bibliotheek bevatten. Afwijkingen in de kaft door behandeling door de bibliotheek mogelijk (herbinding, stickers, hoezen of soortgelijk).
We proberen de toestand van de artikelen zo goed mogelijk te beschrijven. Elk artikel wordt handmatig door ons gecontroleerd en beoordeeld.
Als u niet tevreden bent met onze beoordeling van het artikel, neem dan contact met ons op voordat u een beoordeling geeft en wij zullen er alles aan doen om u tevreden te stellen.
We zouden graag uw feedback ontvangen.